• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Pato la kahawa kushuka kutokana na kubadilika kwa hali ya hewa.

    (GMT+08:00) 2017-07-24 20:07:28

    Kahawa inayo zalishwa nchini Kenya itashuka na karibu asilimia 10, mkurungeznzi kutoka mamlaka ya kilimo na chakula Alfred Busolo amesema.

    Aidha amesema uzalishaji wa kahawa wakati huu mwaka 2016/2017 unaoisha mwishoni mwa mwezi Oktoba, utashuka hadi tani 42,000 , kutoka tani 46,000 mwaka uliopita.

    Busolo amesema hii imetokana na , mabadiliko katika ya hali ya hewa .

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako