• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda : Ada za juu za maombi ya mkopo zinazuia wafanyibiashara wadogo na kati (SMEs) kutoweza kupata mikopo

    (GMT+08:00) 2017-07-24 20:09:06

    Ada za juu za maombi ya mkopo zinazuia wafanyibiashara wadogo na kati (SMEs) kutoweza kupata mikopo ili kukuza biashara zao.

    Katika warsha iliyoandaliwa na wafanyibiashara wa Uganda mjini Kampala hivi karibuni, wafanyibishara wadogo na kati SMEs walilaumu benki kwa ada za juu za maombi ya mkopo.

    Akizungumza katika warsha hiyo, Gavana wa benki ya Uganda (BoU) Emmanuel Tumusiime-Mutebile amesema hakujakuwa na ukuaji wa mikopo katika uchumi tangu 2015.

    Zaidi ya miaka mitano iliyopita, kiwango cha maombi ya mikopo, imekuwa kwa asilimia 17 kila mwaka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako