• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkenya Johanna Omollo ajiunga na Klabu ya Cercele Brugge

    (GMT+08:00) 2017-07-25 10:23:11
    Nyota wa timu ya soka ya Kenya Harambee Stars Johanna Omollo sasa amejiunga na klabu inayocheza daraja la pili ya soka nchini Ubelgiji kutoka klabu ya Royal Antwerp inayocheza daraja la kwanza.

    Duru za kuaminika zinadai kuwa klabu hiyo mpya ilitoa zaidi ya eflu 320 dola za marekani ili kumsajili kiungo huyo wa kati wa Kenya. Sasa Omollo, mwenye umri wa miaka 27 anatarajiwa kutia saini mkataba na klabu hiyo yenye makao yake jijini Brugges kabla ya mwisho wa Jumanne.

    Cercele Brugge ni klabu kanachomilikiwa na miamba wa soka nchini Ufaranza, AC Monaco, ambayo inatumia klabu hiyo kukuza vipaji vipya vya soka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako