• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Timu ya Voliboli ya Rwanda yakata tikiti kombe la mataifa Afrika

    (GMT+08:00) 2017-07-25 10:25:07
    Timu ya taifa ya wanaume ya voliboli kutoka Rwanda imefuzu kuingia mashindano ya kombe la mabingwa barani Afrika yatakayofanyika jijini Cairo nchini Misri mwezi Oktoba.

    Vijana hao wanaoongozwa na kocha Paul Bitok walifuzu kwa makala hayo ingawa bado walikuwa hawajacheza mechi yao ya mwisho dhidi ya Kenya Jumatatu usiku.

    Rwanda ilijikatika tikiti baada ya kushinda mechi yake ya pili dhidi ya Uganda 3-1 katika mashindano ya voliboli FIVB Africa Zone Championships yaliyokamilika jana usiku kwenye ukumbi wa Amahoro mjini Kigali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako