• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wafanyakazi wote wa ubalozi wa Israel nchini Jordan wamerejeshwa nyumbani

    (GMT+08:00) 2017-07-25 19:27:04

    Ofisi ya waziri mkuu wa Israel imetoa taarifa ikisema, wafanyakazi wote wa ubalozi wa nchi hiyo nchini Jordan wamerejeshwa nyumbani jana usiku.

    Taarifa hiyo imesema, wafanyakazi hao ni pamoja na balozi Bw. Einat Schlein na ofisa mmoja wa usalama aliyejeruhiwa. Kurudi nyumbani kwa usalama kwa wafanyakazi hao ndani ya saa 24 kunatokana na ushirikiano wa karibu kati ya nchi hizo mbili.

    Waziri mkuu wa Israel Bw. Benjamin Netanyahu ametoa salamu za pole kwa Bw. Schlein na ofisa wa usalama aliyejeruhiwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako