• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Rwanda inajenga kituo cha taakwimu

    (GMT+08:00) 2017-07-26 19:27:03

    Rwanda inajenga kituo cha taakwimu kwa gharama ya franc bilioni ili kumarisha ukusanyaji wa data nchini humo.

    Kituo hicho kipya kinajengwa katika wilaya ya Nyarugenge.

    Mkurungezi wa kituo cha kitaifa cha kukusanya dataYusuf Murangwa, amesema kwamba ujenzi wa jumba hilo la orofa sita tayari unaendelea na litakamilika 2018.

    Alisema aidha kuna haja ya kuendelea kuongeza uwezo wa nguvu kazi ili kuwa na taakwimu hakika zaidi kwenye maswala ya kitaifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako