• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: Kampuni za simu Tanzania zatozwa faini

    (GMT+08:00) 2017-07-26 19:27:54

    Serikali ya Tanzania imetoza faini ya dola milioni 4.7 kampuni za kutoa huduma za mawasiliano nchini humo kwa kukiuka sheria ya kusajili laini za simu.

    Baadhi ya makampuni yamepatikana na hatia ya kusajili nambari mpya kwa wateja bila kuwaitisha vitambulisho vyao.

    Mamlaka ya mawasiliano nchini humo TCRA wateja kupeana kitambulisho cha kitaifa cha Tanzania, leseni, kadi ya kupigia kura au kadi ya uraia ya Zanzibar ili kusajiliwa.

    Airtel Tanzania imetozwa faini ya dola $480,928) Vodacom Tanzania dola $418,873 huku nayo Zanzibar Telecom ikitozwa dola $33,243.9 miongoni mwa kampuni zingine.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako