• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uingereza kukomesha uuzaji wa magari mapya yanayotumia petroli na dizeli ifikapo mwaka 2040

  (GMT+08:00) 2017-07-27 09:17:05

  Serikali ya Uingereza imethibitisha kuwa itakomesha uuzaji wa magari yote mapya yanayotumia petroli na dizeli ifikapo mwaka 2040, ikiwa ni sehemu ya mpango mpya wa kukabiliana na uchafuzi wa hewa. Mwaka kesho serikali ya Uingereza itaweka Mkakati wa Hewa Safi ambao utashughulikia vyanzo vingine vya uchafuzi wa hewa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako