• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Njia ya juu ya baiskeli mjini Xiamen

    (GMT+08:00) 2017-07-27 18:41:21

    Ili kutatua changamoto ya msongamano barabarani mji wa Xiamen umejenga njia ya juu ya baiskeli, ambapo juu yake kuna njia ya mabasi ya mwendo kasi na chini mabasi na magari ya kawaida.
    Mwandishi wetu wa habari Caroline Nassoro ambaye hajaendesha baiskeli kwa miaka 30 ameendesha baiskeli kwenye njia hiyo.

     

     

     

     

     

     

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako