• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa mawaziri wa kazi na ajira wa nchi za BRICS wafanyika huko Chongqing

    (GMT+08:00) 2017-07-27 20:03:50

    Mkutano wa mawaziri wa kazi na ajira wa nchi za BRICS ulifanyika jana na leo huko Chongqing ukipitia azimio la mkutano wa mawaziri wa kazi na ajira wa nchi za BRICS la mwaka 2017 na nyaraka nne za matokeo

    Waziri wa raslimali watu na huduma za jamii wa China Yin Weimin alisema hivi sasa, maendeleo ya sayansi na tekenolojia, marekebisho ya muundo wa uchumi, na mabadiliko ya muundo ya watu yameleta changamoto mpya kwa sekta ya kazi, jumuiya ya kimataifa inahitaji kukusanya maoni ya pamoja na kujadiliana njia nzuri ya kukabiliana na changamoto hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako