• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi asema ujamaa wenye sifa ya kichina umeingia kwenye hatua mpya ya maendeleo

    (GMT+08:00) 2017-07-27 21:14:11

    Rais Xi Jinping wa China amesema maendeleo ya China yapo katika mwanzo mpya wa kihistoria, na Ujamaa wenye sifa ya Kichina umeingia kwenye hatua mpya ya maendeleo.

    Rais Xi ambaye pia ni katibu mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunoisti cha China CPC na mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Jeshi, ameyasema hayo katika warsha ya maofisa wa ngazi ya mikoa na mawaziri iliyofanyika jana na leo katika maandalizi ya baraza kuu la 19 la taifa la CPC. Amesema chama cha CPC na nchi imeshuhudia mabadiliko ya kihistoria tangu baraza la 18 la CPC, akitaja maendeleo makubwa yaliyofikiwa tangu kuasisiwa kwa Jamhuri ya Watu wa China, hususan tangu kuanzishwa kwa mageuzi na ufunguaji mlango karibu miaka 40 iliyopita.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako