• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jumba la historia ya utengenezaji wa meli nchini China huko Fuzhou

    (GMT+08:00) 2017-07-28 08:20:24

    Katika jumba hili mabaki mengi ya kihistoria zikiwemo picha, sanamu madaftari na nguo yameonesha mafanikio makubwa ya China katika sayansi, teknolojia, elimu ya kisasa, viwanda na kutafsiri vitabu vya sayansi na teknolojia kutoka magharibi.

    Mfaransa Giquel Prosper Marie (1835-1886) alikuwa na uhusiano mzuri na mkuu wa mkoa wa Zhejiang Zuo Zongtang. Mkuu huyu alipoanzisha shughuli za utengenezaji wa meli, alimwajiri mfaransa huyu kushughulikia mambo kadhaa ikiwemo kutoa mafunzo kwa wanafunzi.

    Katika miaka zaidi ya 100 iliyopita China imepiga hatua kubwa katika utengenezaji wa meli za kivita kama mifano ya meli hizi zinazooneshwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako