• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mshambuliaji Sserunkuma atuzwa

    (GMT+08:00) 2017-07-28 10:32:40
    Mshambuliaji wa klabu ya KCCA ya Uganda Geoffrey Sserunkuma alisherehekea ushindi wa tuzo la mchezaji bora kwenye ligi kuu ya nchini hiyo baada ya kuwapiku washindane wake.

    Sserunkuma alituzwa mchezaji bora wa msimu hii ikiwa ni pamoja na kujizolea tuzo la kuwa mfungaji bora wa mabao, na kuwa mchezaji bora wa mwaka aliyepigiwa kura nyingi na mashabiki wa soka nchini Uganda.

    Mchezaji huyo alipokea tuzo la MVP na kuzadiwa gari.

    Baada ya ushindi huo, Sserunkuma alisema sasa anashinikizo kufanya vyema zaidi kutokana na mafanikio yake msimu huu. Hata hivyo alikiri kuwa imekuwa safari ndefu yenye changamoto kwake kutimiza ndoto hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako