• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi asaini amri ya kuwatunuku tuzo maafisa wa jeshi

    (GMT+08:00) 2017-07-28 18:54:30

    Rais wa China Xi Jinping amesaini amri ya agizo la Agosti mosi la kuwatunuku tuzo wanajeshi 10.

    Xi ni katibu mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China CPC na mwenyekiti wa Kamati kuu ya Jeshi CMC. Ikiidhinishwa na CMC amri hiyo ni kwa ajili ya kuwatunuku wanajeshi waliotoa mchango mkubwa wa kulinda mamlaka ya nchi, usalama na maslahi ya maendeleo, na kuboresha jeshi la taifa kuwa la kisasa na vikosi vyake vya jeshi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako