• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Xi Jinping wa China atoa agizo la kujenga jeshi lenye kiwango cha juu duniani

  (GMT+08:00) 2017-07-31 09:42:26

  Rais Xi Jinping wa China jana alikagua gwaride la jeshi la ukombozi wa Umma la China na kutoa agizo la kujenga jeshi hilo kuwa la kiwango cha juu duniani.

  Gwaride hilo lilikuwa ni la maadhimisha ya miaka 90 ya jeshi la ukombozi wa umma la China PLA, na ni mara ya kwanza kwa rais Xi kukagua gwaride katika kituo cha jeshi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako