• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • KENYA:WANAFUNZI 73 KUFAIDIKA NA MSAADA WA ELIMU WA BENKI YA EQUITY

    (GMT+08:00) 2017-07-31 19:42:21

    Benki ya Equity imeahidi kutoa Sh bilioni 2.1 kusaidia wanafunzi 73 ambao wanajianda kujiunga na vyuo vikuu duniani kote baada ya kupitia Programu ya Waongozi ya Equity.

    Programu hii ya kusaidia wanafunzi kusoma imefaidi wanafunzi 400 tangu kuanzishwa kwake.

    Fedha zimetumika tangu kuanza kwa programu hii, ni karibu sh bilioni 10.

    Mwenyekiti wa benki za Equity Dr Peter Munga amesema wafadhili, ambao wengi wanatoka kwa familia zisizo jiweza watajiunga na vyuo vikuu bora duniani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako