• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Kamapuni nane kutoka China kuwekeza Uganda

    (GMT+08:00) 2017-07-31 19:43:16

    Kampuni nane kutoka China zimesaini mkataba na kampuni ya Tian Tang Group kuwekeza kwenye eneo la kiviwanda la Mbale nchini Uganda.

    Tian Tang Group ilipewa kandarasi ya kujenga eneo la kiviwanda kwenye ardhi ya ekari 619 ili kusaidia upatakanaji wa ajira nchini humo.

    Eneo hilo ambalo ni uwekezaji wa dola milioni 600 linatarajiwa kuwa na makampuni 30 na kuzalisha nafasi 12,000 za ajira kwa waganda.

    Kampuni hizo nane bfgtbhfdza china zitawekeza kwenye viwanda vya utengenezaji sharubati, usindikaji wa mchele, samani miongoni mwa viwanda vingine.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako