• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda : Polisi wazuilia mshukiwa wa wizi wa euro 300,000

    (GMT+08:00) 2017-07-31 19:44:11

    Polisi nchini Rwanda wamefanikiwa kupata euro 300,000 zilizokuwa zimeibiwa kutoka kwa kituo cha kubadilisha pesa wilaya ya Nyarugenge wiki iliopita.

    Msemaji wa polisi Emmanuel Hitayezu amesema washukiwa wawili wanashikiliwa na kwa uchunguzi.

    Taarifa ya polisi inasema mmpja wa washukiwa hao Alexis Nkubito aliagizwa na bosi wake kutuma euro milioni 3 kwenda China lakini badala yake akatuma euro milioni 2.7 tu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako