• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kuweka mfumo wa satelaiti za kuongoza mawasiliano Beidou kwenye magari mapya mwakani

    (GMT+08:00) 2017-08-01 09:07:11

    China inapanga kuweka mfumo wa satelaiti za kuongoza mawasiliano wa Beidou kwenye magari mapya yanayotengenezwa nchini China mwaka kesho. Katika kipindi cha 13 cha maendeleo ya miaka mitano cha 2016/2020, zaidi ya magari milioni 20 yatakuwa yamewekwa mfumo huo kabla ya kutolewa sokoni, nusu kati yao yatauzwa katika masoko ya nje, hatua inayolenga kuhimiza matumizi ya mfumo huo wa kichina kote duniani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako