• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yaandaa tafrija ya kuadhimisha miaka 90 ya jeshi lake

    (GMT+08:00) 2017-08-01 09:58:43

    Wizara ya ulinzi ya China jana hapa Beijing iliandaa tafrija ya kuadhimisha miaka 90 tangu kuanzishwa kwa jeshi la ukombozi la umma la China PLA, ambayo ilihudhuriwa na rais Xi Jinping, waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang na viongozi wengine wa China.

    Mjumbe wa kamati ya kijeshi ya chama cha kikomunisti cha China, ambaye pia ni waziri wa ulinzi wa China Bw. Chang Wanquan amesema, jeshi linaloundwa na kuongozwa na chama cha kikomunisti cha China lilitoa mchango mkubwa katika mapinduzi, ujenzi na mageuzi ya China. Amesema, katika miaka 90 iliyopita, sura ya jeshi la China la kutetea amani, haki na lenye nguvu haijabadilika. Amesema jeshi la China litatekeleza kithabiti na kikamilifu majukumu liliyopewa na chama na wananchi wa China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako