• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uwekezaji wa China nchini Zimbabwe waongezeka

    (GMT+08:00) 2017-08-01 19:19:17

    Mamlaka ya uwekezaji nchini Zimbabwe imesema nchi hiyo inanufaika na uwekezaji kutoka China.

    Imesema mamlaka hiyo kwamba China sasa ndio mwekezaji mkuu wa moja kwa moja nchini Zimbabwe.

    Mwaka 2015 mamlaka hiyo iliidhinisha dola milioni 929 za uwekezaji wa kigeni wa moja kwa moja na nusu ya uwekeaji huo ulikuwa ni kutoka China.

    Msemaji wa mamlaka hiyo Nixon Kanyemba anasema sasa wangependa kuvutia uwekezaji zaidi kutoka China hasa kwenye sekta za teknolojia na viwanda.

    China kwa sasa ni mojawepo wa wanunuzi wakuu wa tumbaku ya Zimbabwe inayonunuliwa na kampuni ya Tianze.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako