• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Baraza la seneti la Marekani lamthibitisha Bw. Christopher Wray kuwa mkurugenzi wa FBI

  (GMT+08:00) 2017-08-02 10:14:59

  Baraza la seneti la bunge la Marekani jana liliupigia kura na kuuidhinisha uteuzi wa Bw. Christopher Wray kuwa mkurugenzi mkuu wa Shirika la upelelezi la Marekani FBI.

  Bw. Wray alipata kura 92 za ndio na 5 za hapana, na kuchukua nafasi iliyoachwa na Bw. James Comey, aliyefukuzwa na rais Donald Trump, wakati wachunguzi wakiendelea na uchunguzi kuhusu uhusiano kati ya timu ya kampeni ya uchaguzi ya rais Trump na serikali ya Russia.

  Mwezi uliopita Bw Wray alisema atajitahidi kufanya kazi kwa uhuru.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako