• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Wakulima Kenya wanapinga kuagiziwa kwa sukari

    (GMT+08:00) 2017-08-02 19:11:02

    Wakulima wa miwa katika eneo la magharibi mwa Kenya wanapinga mipango ya kutaka kununua sukari kutoka nje.

    Wakulima hao kutoka maeneo ya Kakamega, Busia, Bungoma na Siaya wanasema kuagizia sukari kutoka nje kutaathiri sekta ya kilimo cha miwa ambayo tayari imeendelea kudororra kutokna na wakulima kukosa kulipwa.

    Hata hivyo serikali inasema uagiziaji wa sukari kiutoka nje unalenga kuziba mwanya wa tani 400,000

    Waziri wa kilimo Willy Bett amesema baadhi ya viwanda vya sukari kwenye eneo hilo vimekosa ali ghafi kwani wakulima hawawezi kukithi mahitaji.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako