• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mume wa malkia wa Uingereza astaafu rasmi shughuli za kisiasa

  (GMT+08:00) 2017-08-03 09:45:18

  Mume wa malkia wa Uingereza Prince Philip amestaafu rasmi shughuli za kisiasa baada ya kutumikia kwa muda wa miaka 65. Taarifa iliyotolewa na Jumba la kifalme la Buckingham inasema baada ya kustaafu, Prince Philip hatahudhuria shughuli rasmi au za kiofisi peke yake, lakini pia ataendelea kuambatana na malkia kama mume wake kwenye shughuli za kisiasa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako