• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uamisho wa wachezaji Europa

    (GMT+08:00) 2017-08-03 10:31:25
    Baada ya Neymar kuondoka Barcelona, sasa klabu hiyo inataka kumsajili Philippe Coutinho kutoka Liverpool

    Mshambuliaji wa Monaco, Kylian Mbappe ameiambia klabu yake kuwa anataka kuondoka kipindi hiki cha uhamisho majira ya joto.

    Virgil van Dijk ameonesha ishara kuwa hataki kuendelea kubaki Southampton na anataka kushinikiza kujiunga na Liverpool.

    Mshambuliaji wa Arsenal, Alexis Sanchez amewaambia wachezaji wenzake wa Emirates kuwa anatarajia kuondoka klabuni hapo msimu huu.

    AC Milan wanataka kumsajili mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa kwa mkataba wa kudumu katika dirisha la uhamisho wa majira ya joto.

    Liverpool wameungana na Chelsea na Manchester United katika mbio za kumuwinda kiungo wa Bayern Munich Renato Sanches,

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako