• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • UNESCO ina wasiwasi juu ya urithi wa dunia wa Reli ya Darjeeling Himalaya nchini India

  (GMT+08:00) 2017-08-07 10:08:53

  UNESCO ina wasiwasi juu ya urithi wa dunia wa Reli ya Darjeeling Himalaya nchini India

  Shirika la Umoja wa Mataifa ya Elimu, Sayansi na Utamaduni UNESCO limeeleza wasiwasi kwamba uharibifu kwenye Reli ya Darjeeling Himalaya nchini India unatishia heshima ya urithi huo wa dunia. Vituo viwili muhimu vya reli hiyo vilichomwa moto wakati jaribio la uchomaji lilifanyika kwenye jengo la Elysia, wakati wa mgomo uliotokea kwenye jimbo la mashariki nchini humo. Afisa wa UNESCO Bw. Moe Chiba amesema kutokana na uharibifu huo, mkutano wa pili wa Kamati ya Urithi wa Dunia utakaofanyika mwaka 2018 utafanya ukaguzi tena kuhusu urithi huo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako