• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: Benki ya Tanzania imekata viwango vyake vya ada kukuza ukuaji wa mikopo kwa sekta binafsi

    (GMT+08:00) 2017-08-07 20:09:42

    Benki ya Tanzania (BoT) kwa mara nyengi imekata mpunguzo wa viwango vyake kwa poti asilimia tatu ili kuboresha ukwasi katika mabenki ya kibiashara na kukuza ukuaji wa mikopo kwa sekta binafsi.

    Benki ya Tanzania (BoT) iliziambia benki za kibiashara kwamba ilikuwa ikirekebisha mpunguzo wa viwango vyake.

    Aidha imesema mpunguzo huo utashuka hadi asilimia 9 kutoka asilimia 12 kuanzia leo.

    Mpunguzo huu wa viwango utatumika kwa mabenki ya kibiashara ya nayo kopa kutoka kwa Benki ya Tanzania (BoT).

    Hii ni mara ya pili katika miezi minne Benki ya Tanzania (BoT) imepunguza kiwango ambayo utoza benki za kibiashara, ambazo zinaomba mkopo kutoka kwao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako