• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya: Gharama ya juu ya mtando, usalama inawafanya wakenya kutotumia mtandao

  (GMT+08:00) 2017-08-07 20:10:14

  Gharama za juu za vifungu vya mtandao maarufu kama data bundles na hofu za usalama ndio sababu kubwa mbazo zinachangia asilimia 18 ya wakenya kuzima mtando wao interneti, utafiti mpya umeonyesha.

  Utafiti huo, maarufu kama RIA, ulioungwa mkono na Mozilla ulitaka kujua kwa nini asilimia 82 ya nchi ya watu milioni 38 walikuwa kwenye mtandao mara kwa mara mwaka 2016 kama ilivyoripotiwa na Mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya.

  Utafiti huo ulionyesha kuwa bei ya vifungu vya data na simu zinazoweza kuunganishwa na intaneti gharama ya ke iko juu sana hivyo kuwa changamoto kwa watumiaji wengi.

  Matokeo ya utafiti, pia inaonyesha watu wengi wanapenda kupiga simu au kuandika ujumbe mfupi.

  Walionyesha kuwa gharama ya vifungu vya mtandao ilikuwa nafuu zaidi kuliko ile ya kupiga simu lakini ni ghali zaidi kuliko ile ya kuandika ujumbe mfupi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako