• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya: Bei ya chakula mjini Mombasa imeongezeka mara tatu kabla ya uchaguzi mkuu jumanne

  (GMT+08:00) 2017-08-07 20:11:31

  Bei ya chakula mjini Mombasa imeongezeka kabla ya uchaguzi mkuu Jumanne.

  Uchunguzi ulifanywa kwenye soko la kongowea ulibainisha kwamba bei ya chakula vyote ilikuwa imeongezeka mara tatu.

  Wafanyabiashara wamesema ongezeko hilo limetokana na mahitaji ya juu.

  Aidha wamesema wao wanunua vyakula kwa bei ya juu kutoka kwa wakulima ndio maana wanapandisha bei sokoni.

  Bidhaa kama vile kabichi, nyanya, vitunguu na viazi bei yake imepanda.

  Kilo ya nyanya unauzwa Sh200 kutoka Sh80 wakati kiasi kama hicho cha vitunguu kinauzwa Sh150 kutoka Sh 50.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako