• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ethiopia yatafuta soko mpaya kukuza mazao yake ya maua

  (GMT+08:00) 2017-08-07 20:11:51

  Ethiopia inaangalia kukuza mazao yake ya maua nchini China na masoko mengine ili kuongeza kiasi cha mauzo ya nje na mapato,Chama cha Wazalishaji wa Maua na Wasafirishaji (EHPEA)

  Chama hicho kimesema juhudi mbalimbali tayari zinaendelea kusaidia kufikia lengo hili.

  Mkurugenzi mtendaji wa Chama hicho (EHPEA), amesema mauzo ya nje kwenye sekta ya maua katika miaka michache iliyopita imeonyesha maendeleo ya mazuri, lakini sekta ya matunda na mboga haikuwi kama ilivyotarajiwa ikilinganishwa na uwezo wake.

  Ethiopia imetengeneza dola milioni 300 kutoka kwa mauzo ya nje ya matunda na mboga katika mwaka wa fedha uliopita.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako