• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Zaidi ya watu 12 wauawa katika mashambulizi mjini Kinshasa, DRC

  (GMT+08:00) 2017-08-08 10:35:34

  Zaidi ya watu 12 wameuawa katika mashambulizi mjini Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).

  Polisi mjini Kinshasa imethibitisha kuwa kundi la Bundu dia Kongo limefanya mashambulizi hayo ambapo lilijaribu kushambulia gereza kuu la Makara lakini lilizidiwa nguvu na vikosi vya usalama.

  Polisi inaendelea kuhoji wapiganaji wa kundi hilo waliokamatwa.

  Mkurugenzi wa Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) kanda ya Kusini na Katikati ya Afrika Marie-Pierre Poirier amesema, nchi mbalimbali zinapaswa kuzingatia zaidi hali ya watoto na familia katika eneo la Grand Kasai nchini DRC.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako