• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Xi Jinping apongeza utimiaji wa miaka 50 tangu Umoja wa nchi za Asia ya Kusini Mashariki uanzishwe

  (GMT+08:00) 2017-08-08 17:24:11

  Rais Xi Jinping wa China leo ametoa salamu za pongezi kwa rais Rodrigo Duterte wa Philippines ambayo ni nchi ya mwenyekiti wa zamu ya Umoja wa nchi za Asia ya Kusini Mashariki, akipongeza kutimiza miaka ya 50 kwa umoja huo.

  Rais Xi ametoa salamu hizo za pongezi kwa serikali na watu wa nchi wanachama wa umoja huo kwa niaba ya serikali ya China na watu wa China. Pia amesema China inautakia ujenzi wa Umoja wa nchi za Asia ya Kusini Mashariki maendeleo zaidi, na kutoa mchango zaidi katika kuhimiza amani, utulivu na ustawi wa sehemu hiyo, na kuwanufaisha watu wa nchi mbalimbali za Asia ya Kusini Mashariki.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako