• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Raia 30 wauawa katika shambulizi la anga lililoongozwa na Marekani nchini Syria

  (GMT+08:00) 2017-08-09 19:01:35

  Raia zaidi ya 30 wameuawa katika saa 24 zilizopita mjini Raqqa, kakazini mwa Syria kwenye shambulizi la anga lililofanywa na jeshi linaloongozwa na Marekani dhidi ya vituo vya kundi la IS.

  Kwa mujibu wa shirika linalosimamia haki za binadamu la Syria lenye makao yake makuu nchini Uingereza, wanawake 9 na watoto 14 wameuawa katika shambulizi hilo.

  Shirika hilo limesema, idadi ya vifo inaweza kuongezeka kutokana na idadi kubwa ya majeruhi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako