• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yatekeleza majukumu ya kulinda amani ya Umoja wa Mataifa katika miaka 27 iliyopita

    (GMT+08:00) 2017-08-09 19:21:50

    Mwaka 1990, China ilipeleka kwa mara ya kwanza askari watano katika kundi la usimamizi wa kusimamisha vita la Umoja wa Mataifa. Hadi leo, China imeshiriki operesheni 24 za kulinda amani za Umoja huo na kupeleka askari elfu 33 wa kulinda amani, ikiwa ni nchi inayopeleka askari wengi zaidi wa kulinda amani kati ya nchi wajumbe watano wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja huo.

    Hivi sasa, askari zaidi ya elfu 2.8 wa China wanatekeleza majukumu ya kulinda amani nchini Sudan Kusini, Lebanon, Mali, na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako