• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Qatar yatoa ruhusa ya kuingia bila visa kwa raia wa nchi 80

  (GMT+08:00) 2017-08-10 09:19:47

  Afisa mkuu wa Maendeleo ya Utalii wa Qatar Bw Hassan al-Ibrahim ametangaza kuwa nchi hiyo itawaruhusu raia wa nchi 80 kuingia nchini humo bila visa. Ofisa huyo ameongeza kuwa hatua hiyo itaifanya Qatar kuwa nchi iliyo ya wazi zaidi katika sehemu hiyo. Raia kutoka China, Marekani, India, Afrika Kusini watapewa ruhusa ya kuingia kwa mara nyingi nchini humo kwenye forodha, kwa kuonesha pasipoti yenye uhalali wa miezi sita na tiketi za kuondoka kutoka nchi hiyo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako