• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mtuhumiwa wa shambulizi dhidi ya askari wa Ufaransa akamatwa

  (GMT+08:00) 2017-08-10 09:20:11

  Gazeti moja la Ufaransa limeripoti kuwa, mwendesha gari mmoja anayetuhumiwa kufanya shambulizi dhidi ya askari wa Ufaransa huko Levallois-Perret kaskazini mwa Paris, amekamatwa barabarani, kaskazini mwa Ufaransa. Mapema ya siku hiyo, mapambano yalitokea kati ya polisi na mwendesha gari anayetuhumiwa, askari sita walijeruhiwa. Wachunguzi wanajaribu kuthibitisha kama mwendesha gari huyo alifanya shambulizi hilo, na uchunguzi kuhusu kama tukio hilo linahusiana na ugaidi pia umeanza.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako