• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uturuki yaanza kujenga ukuta katika eneo la mpaka kati yake na Iran

  (GMT+08:00) 2017-08-10 10:12:44

  Serikali ya mkoa wa Agri ya Uturuki imetangaza kuanza kujenga ukuta wa usalama katika eneo la mpaka kati ya Uturuki na Iran.

  Kwa mujibu wa habari kutoka tovuti ya serikali ya mkoa huo, Gavana wa mkoa huo, Suleyman Elban ametembelea eneo la ujenzi, ambalo vifaa vingi vya ujenzi vinapelekwa.

  Habari zinasema, mpango wa ujenzi huo unaongozwa na wizara ya ulinzi wa Uturuki, na ukuta unatarajiwa kuwa na urefu wa kilomita 144.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako