• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • FBI yavamia nyumba ya aliyekuwa mwenyekiti wa kampeni wa Bw Trump kuhusiana na uchunguzi kushirikiana na Russia

  (GMT+08:00) 2017-08-10 10:29:21
  FBI yavamia nyumba ya aliyekuwa mwenyekiti wa kampeni wa Bw Trump kuhusiana na uchunguzi kushirikiana na Russia

  Maofisa wa shirika la upelelezi la Marekani FBI wamevamiwa nyumba ya aliyekuwa mwenyekiti wa timu ya kampeni ya Rais wa Marekani Donal Trump, kuhusiana na uchunguzi unaoendelea kuhusu Russia kuingilia uchaguzi wa Marekani.

  Maofisa wa FBI walivamia nyumba ya Bw Paul Manafort usiku wa tarehe 26 Julai na kuondoka na vitu mbalimbali, ambavyo umuhimu wako kwenye uchunguzi huo bado haujulikani.

  Timu ya kampeni ya Rais Trump imekabidhi kumbukumbu zenye kurasa elfu 20 kwa kamati ya sheria ya bunge la Marekani na kamati ya ujasusi ya bunge, kuhusiana na uchunguzi huo. Kati ya nyaraka zilizokabidhiwa ni nukuu zilizochukuliwa mwezi Juni mwaka 2016 na Bw Manafort, za mazungumzo kati ya mtoto wa Bw Trump na mwanasheria wa Marekani.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako