• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais wa Togo ataka tathmini endelevu ya mapatano ya AGOA

  (GMT+08:00) 2017-08-10 18:00:59

  Rais Faure Gnassingbe wa Togo amesema mapatano ndani ya Mkataba wa Fursa ya Ukuaji wa Kiuchumi wa Afrika (AGOA) yanatakiwa yafanyiwe tathmini ya mara kwa mara, kuangaliwa upya na kufanyiwa marekebisho ili yaendelee kuwa na ufanisi.

  Rais Gnassingbe amesema hayo jana alipohutubia ufunguzi wa kikao cha mawaziri ikiwa ni sehemu ya mkutano wa 16 wa AGOA ulioanza jumanne wiki hii mjini Lome. Amesema wajibu wa mkutano huo ni kuendeleza majadiliano yatakayosaidia kuimarisha uhusiano huo kwa kuendelea kuheshimu dhana ya biashara, na sio misaada.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako