• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wanafunzi 37 wa Rwanda wapata ufadhili wa masomo nchini China

  (GMT+08:00) 2017-08-10 18:52:12

  Ubalozi wa China nchini Rwanda umefanya hafla ya kuwaaga wanafunzi 37 waliopata nafasi ya kuendelea na masomo yao nchini China, ambapo watafadhiliwa na serikali ya China na chuo cha Confucius.

  Akizungumza kwenye hafla hiyo, Balozi wa China nchini Rwanda Bw. Rao Hongwei amesema, serikali ya China imetoa ufadhili wa masomo kwa wanafunzi wa Rwanda kuanzia mwaka 1976, na mpaka sasa wanafunzi zaidi 600 wa Rwanda wamefaidika na ufadhili huo. Aidha vyuo vikuu vya China na taasisi za kijamii pia zinatoa ufadhili wa masomo kwa wanafunzi wa Rwanda. Hivi sasa kuna wanafunzi 1,100 wa Rwanda wanasoma nchini China, ambapo wanafunzi zaidi 200 wamepata ufadhili wa masomo yao.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako