• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya:Usafiri wa SGR waregea katika hali ya kawaida

  (GMT+08:00) 2017-08-10 20:51:56

  Waziri wa uchukuzi nchini Kenya James Macharia ameamrisha utaratibu wa uchukuzi wa treni ya SGR kurudi katioka hali ya kawaida baada ya kusitishwa kwa siku kadhaa kufuatia uchaguzi mkuu.

  Macharia amesema wameanda majadiliano na shirika la reli nchini Kenya kuregesha safari hizo kutoka Nairobi hadi Mombasa baada ya uchaguzi wa amani.

  Licha ya kuwepo kwa abiria wachache walioagiza tiketi za usafiri huo,huduma za treni za SGR zitaendelea.

  James Macharia amesema huduma za SGR zitaanza tena siku ya Ijumaa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako