• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Muungano wa Saudi wapiga marufuku ndege za kibiashara kutoka na kwenda uwanja wa ndege wa Sanaa

  (GMT+08:00) 2017-08-11 09:07:43

  Shirika la habari la Saudi Arabia limeripoti kuwa, muungano unaopambana na waasi wa Houthi nchini Yemen, umetangaza kupiga marufuku safari za ndege za kibiashara kutoka na kwenda Uwanja wa Kimataifa ya Sanaa. Msemaji wa muungano huo Bw Turki Al-Malki amesema kufunga uwanja wa ndege wa Sanaa na kuweka mipaka kwa ndege za Qatar kushiriki katika kazi ya utoaji wa misaada, kunalenga hakikisha usalama wa ndege zote za kibiashara na mizigo nchini Yemen kutokana na kundi la waasi la Houthi kujaribu kuuza silaha nchini humo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako