• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Misri yasema ni Qatar lazima ikidhi matakwa iliyopewa ili kukomesha mgogoro

  (GMT+08:00) 2017-08-11 09:08:44
  Waziri wa mambo ya nje wa Misri Bw. Sameh Shoukry, amesema Qatar inapaswa kukidhi matakwa yaliyotolewa na nchi nne za kiarabu ili kukomesha mgogoro na nchi hizo. Bw. Shoukry amesema hayo alipokutana na wajumbe maalumu wa Marekani kuhusu mgogoro wa Qatar Bw. Anthony Zinni na Bw Tim Timothy Lenderking. Saudi Arabia, Umoja wa Falme za Kiarabu, Bahrain na Misri zilikatisha uhusiano wa kidiplomasia na Qatar Juni, 5 zikiishutumu kwa kuunga mkono ugaidi na kuingilia mambo yao ya ndani, pia zilitangaza orodha yenye matakwa 13 kwa Qatar ikiwa ni pamoja na kufunga televisheni ya Al-Jazeera.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako