• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uchunguzi kuhusu aliyekuwa rais wa Brazil wafunguliwa tena

  (GMT+08:00) 2017-08-11 09:09:22
  Uchunguzi kuhusu aliyekuwa rais wa Brazil wafunguliwa tena

  Uchunguzi kuhusu aliyekuwa rais wa Brazil Bw Lula da Silva ulifunguliwa tena jana na waendesha mashitaka wa nchi hiyo. Uchunguzi huo ulianza mwaka 2013, baada ya mwandishi wa habari Marcos Valerio alikiri kwamba aliendesha mpango unaowezesha makampuni kupata manufaa ya kisiasa wakati wa serikali ya kipindi cha kwanza ya Lula. Valerio alihukumiwa miezi 37 jela.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako