• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Serikali ya Ethiopia inafanya kazi kuhakikisha kuwa hakuna wahanga kutokana na tatizo la ukame

  (GMT+08:00) 2017-08-11 09:17:36

  Serikali ya Ethiopia inafanya kazi kwa bidii kuhakikisha kuwa hakuna mtu anayeathiriwa na vibaya na ukame mkali uliosababishwa na madhara ya El Nino, yaliyoacha watu milioni 7.8 wahitaji msaada wa chakula.

  Naibu Waziri Mkuu wa Ethiopia Bw Demeke Mekonnen amesema ukame umewaathiri waethiopia wengi wa eneo la mashariki, hasa wafugaji, kwa sasa serikali inawapatia msaada wa chakula kwa ajili ya mifugo yao, na chakula kwa watu wanaokihitaji.

  Mapema wiki hii serikali ya Ethiopia ilitanganza kwa inatarajia kuwa watu watakaohitaji msaada wa chakula wataongezeka kutoka watu milioni 7.8 wa sasa hadi milioni 8.5, idadi hiyo imekuwa ikiongezeka tangu mwanzoni mwa mwaka huu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako