• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Polisi wa Tanzania wapiga risasi wapiganaji 13

  (GMT+08:00) 2017-08-11 09:30:59

  Wapiganaji 13 wameuawa katika mapigano kati yao na polisi katika mkoa wa pwani, Tanzania.

  Kamishna mkuu wa polisi wa Tanzania Simon Sirro amesema, wapiganaji hao walishiriki kwenye mashambulizi dhidi ya wilaya ya Kibiti na kusababisha vifo vya watu 40.

  Kamanda Sirro pia amesema, polisi pia wamekamata silaha na mabomu kwenye kambi ya wapiganaji hao.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako