• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Serikali kuu ya China yatoa dola za Marekani milioni 27.1 kwa kazi za uokoaji za tetemeko la ardhi

    (GMT+08:00) 2017-08-11 09:31:20

    Wizara ya fedha ya China imesema serikali kuu ya China imetoa dola za kimarekani milioni 27.1 kwa kazi za uokoaji mkoani Sichuan na Xinjiang, baada ya kuathiriwa vibaya na tetemeko la ardhi.

    Habari zinasema watu 20 wamefariki dunia na wengine 431 wamejeruhiwa katika tetemeko la ardhi lenye nguvu ya 7 kwenye kipimo cha Richter mkoani Sichuan. Tetemoko la ardhi lenye nguvu ya 6.6 kwenye kipimo cha Richter pia liliotokea mkoani Xinjiang, na kusababisha vifo vya watu 32.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako