• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mkutano wa ushirikiano kati ya vyombo vya habari kati ya China na Nigeria wafanyika huko Abuja, Nigeria

  (GMT+08:00) 2017-08-11 14:05:22

   


  Mkutano wa ushirikiano kati ya vyombo vya habari kati ya China na Nigeria tarehe 10 mwezi Agosti ulifanyika huko Abuja nchini Nigeria, naibu mkurugenzi wa ofisi ya habari ya baraza kuu la serikali ya China Bw. Guo Weimin, mwenyekiti wa gazeti la viongozi la Nigeria Bw. Sam Nda Isaiah, mwenyekiti wa shirika la wahariri la Nigeria Bibi Olufunkee na wakuu, wahariri hodari na waandishi wa habari walihudhuria mkutano huo.

  Bw. Guo Weimin alismea kuwa, ziara yake inalenga kutekeleza makubaliano yaliyofikiwa na marais wa nchi hizo mbili kuhusu kuendeleza uhusiano wa kimkakati na urafiki kati ya China na Nigeria na maafikiano ya mkutano wa viongozi wa baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika uliofanyika huko Johannesburg kwa kupitia mawasiliano kati ya serikali, watu wa vyombo vya habari na raia, kusukuma mbele uhusiano kati ya nchi hizo mbili.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako