• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Pato la serikali ya China laongezeka kwa kasi mwezi Julai

  (GMT+08:00) 2017-08-11 16:23:26
  Wizara ya Fedha ya China imesema, pato la hazina ya serikali ya China limeonyesha ukuaji wa kasi mwezi Julai, wakati matumizi yakiongezeka kwa kasi ndogo.

  Wizara hiyo imesema, mwezi uliopita, pato hilo liliongezeka kwa asilimia 11.1 ikilinganishwa na mwaka, ambayo ni sawa na dola za kimarekani bilioni 250.

  Pato linalotokana na kodi (VAT) liliongezeka kwa asilimia 18.8 kwa mwezi uliopita, ikilinganishwa na kipindi hicho kwa mwaka jana.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako