• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Thamani ya biashara kati ya Ethiopia na China yafikia dola bilioni 5.4 za kimarekani mwaka jana

  (GMT+08:00) 2017-08-11 18:11:36

  Thamani ya biashara kati ya Ethiopia na China imefikia dola za kimarekani bilioni 5.4 mwaka jana.

  Mkuu wa idara ya mawasiliano ya umma katika wizara ya biashara ya Ethiopia Wondimu Filate amesema, biashara kati ya nchi hizo mbili iliongezeka kwa kasi baada ya kuanzishwa kwa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) mwaka 2000. Amesema Baraza hilo limekuwa jukwaa muhimu la majadiliano ya pamoja na mfumo wa uhakika wa ushirikiano wa kivitendo kati ya nchi za Afrika ikiwemo Ethiopia na China.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako